Mtalaamu wa washirika hilio tawi la mbeya MH CLEMENCE BUSARA |
Angalia malengo na maono ya yes Tanzania |
Mratibu wa YES TANZANIA Bi PRISCA WALLACE MANGO |
YES TANZANIA hizi ndizo kazi zetu namalengo yetu kwa vijana |
Mtalaamu wa washirika hilio tawi la mbeya MH CLEMENCE BUSARA akiwa katika uelimishaji |
Shirika la YES TANZANIA(YOUTH EDUCATION THROUGH SPORTS TANZANIA) ambalo lina jishughulisha na uelimishaji wa ujasiliamali demcrisia na utawala bora kupitia michezo kwa vijana limeweza kusaidia vijana zaidi ya 1300 nchi nzima kwa kujikwa mua kiuchumi nakuweza kufanikisha vijan hao kujijengea uwezo na kwa baadhi yao kujiali wenyewe hali ambayo awali ili kuwa ngumu kwao, hayo yamesmwa na mtalaamu wa washirika hilio tawi la mbeya MH CLEMENCE BUSARA ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni ya mercy and wise alipokuwa akizumza na mtandao huu ofisini kwakwe
Pamoja na hayo ameongeza kuwa nadi ya vijanoa hao 1300 asilimia 20% ambao nisawa na vijana 260 tayari ameisha jikwamua kiuchumi na kuanzisha makampuni mablimbali nchini pia amesema shirika hilo lina shrikiana na mashrika makubwa duniani kuhakisha elimu kwa vijana inafika kwa ufanisi zaidi, mtalaamu huyo alitaja baadhi ya mashirika ni pamoja na ILO shirika la kazi duniani , SIYB, EAST AFRICAASSOCIATION NA WISE AND MERCY COMPANY na mengine mengi
Kwa upande wake mratibu wa YES TANZANIA Bi PRISCA WALLACEMANGO amesema kuwa YES- Tanzania nishirika ambalo linatoa elimu ya ujasiliamali,democrasia na utawala bora kwa vijana kwa kutumia michezo kwa kufanya makongamano ,semina mbalimbali mjini na vijijini ili kuwa wafikia kirahisi zaidi pia ameongeza kuwa michezo ni moja wapo ya njia wanazo zitumia ili kufisha elimu au ujumbe kwa vijana
BI PRISCA amewaomba vijana kuwa watambue kuwa michezo ni ajira ambayo iniyoweza kumpeleka mbali zaidi kijana hususani katika jumbozima la maendeleo yake bifsi na nchi kwa ujumla ,wazazi wanatakiwa kuwahimiza vijana wao kujiingiza au kufanya kazi ambayo itawaletea maanufaa kwa vijana wao alisema maratibu huyo
Pia ametoa wito kwa kijana ambaye ataka kujiunanga na shrike hilo kwa ajiri ya elimu ya ujasilia mali ,democrsia na utawala bora wanakaribiswa na wanapatikana nchizima kwa upande wa wa nyanza za juu wapo eneo la nane au unaweza kupiga simu namba simu 0758259464, AU 0686350995
0 comments:
Post a Comment