Waziri wa Maji,Mhe.
Prof. Jumanne Maghembe akikagua ujenzi wa tanki la maji lenye ujazo wa
lita million 5.5 kwa ajili ya kuhudumia wakazi wapatao 20,000 katika
eneo la Itege mjini Dodoma. Tanki hilo ni miongoni mwa matenki manne
yanayoendelea kujengwa. Ujenzi wa mradi huu unajengwa kwa ushirikiano wa
Serikali za Tanznia na Jamhuri ya Korea kwa gharama ya Sh. Billion 78.
Mkandarasi wa Ujenzi
wa Matanki hayo akimuelekeza kitu Waziri wa Maji,Mhe. Prof. Jumanne
Maghembe wakati alipofika kukagua ujenzi wa tanki la maji lenye ujazo wa
lita million 5.5 kwa ajili ya kuhudumia wakazi wapatao 20,000 katika
eneo la Itege mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment