Mkazi wa
Kihesa katika Manispaa ya Iringa, Peter Kalawa akiuliza swali katika
mkutano wa hadhara wa Kampeni ya Kituo cha Sheria na haki za Binadamu
(LHRC) ya kusambaza uelewa juu ya Katiba kwa wananchi uliyofanyika
Kihesa Sokoni hivi karibuni. Wakati wa mkutano CD za sauti ambako Rasimu
ya Pili ya Katiba imerekodiwa yote kwa lugha nyepesi, "flash disk" kwa
ajili ya madereva wa Bodaboda na machapisho kwa lugha nyepesi vilitolewa
bure .
Wakazi wa Kihesa katika Manispaa ya Iringa, wakifuatilia kwa umakini mkutano wa hadhara wa Kampeni ya Kituo cha Sheria na haki za Binadamu (LHRC) ya kusambaza uelewa juu ya Katiba kwa wananchi unaendelea katika mikoa 20 ya Tanzania bara na visiwani, uliyofanyika Kihesa Sokoni hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment