Waandishi wakipata maelekezo ya Uzinduzi wa Uwanja Mpya wa Michezo ya
Majeshi Zanzibar katika kambi ya migombani ulifunguliwa na Mkuu wa
Majeshi Tanzania Jenerali Davis Mamunyange.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, akikata
utepe kuashiria kuufunguauwanja mpya wa michezo ya majeshi Zanzibar
yanayotarajiwa kufunguliwa kesho na Rais waZanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, katika uwanja wa Amaan, jumla
ya nchi tano zinashiriki michezo hiyo Tanzania, Kenya, Uganda Ruwanda
na Burundi.kushoto Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Mhe.Abdallah Mwinyi
Khamis na kulia Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh
Othman.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Davis Mwamunyange, akiwa na Mkuu wa
Brigedi ya Nyuki Zanzibar Shariff Shekh Othman kulia na kushoto Mkuu wa
Wilaya ya Mjini wakimshindikiza Mkuu wa Majeshi kukagua timu baada ya
ufunguzi wa uwanja huo wa michezo ya Majeshi Migombani Zanzibar.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
Jenerali Davis Mwamungyange, akiikagua timu ya Vikosi vya SMZ, baada ya
Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa
kesho uwanja wa Amaan na Rais wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali
Mohamed Shein,
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamungyange,
akiikagua timu ya JWTZ, baada ya Kuuzindua Uwanja Mpya wa Michezo ya
Majeshi, yanayotarajiwa kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan na Rais wa
Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein,
Kikosi cha timu ya Vikosi vya SMZ
kinachishiriki michuano ya Tamasha la Michezo ya Majeshi wakiwa katika
mazoezi kabla ya mchezo wa kirafiki na timu ya Vikosi vya SMZ, wakati wa
uzinduzi wa Uwanja mpya wa Michezo ya Majeshi Zanzibar.inayotarajiwa
kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kikosi cha timu ya Jeshi laWananchi Tanzania kinachishiriki michuano ya
Tamasha la Michezo ya Majeshi wakiwa katika mazoezi kabla ya mchezo wa
kirafiki na timu ya Vikosi vya SMZ, wakati wa uzinduzi wa Uwanja mpya wa
Michezo ya Majeshi Zanzibar.inayotarajiwa kufunguliwa kesho uwanja wa
Amaan Zanzibar.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mamwunyange,
akifuatilia mchezo wa kirafii kati ya JWTZ na Timu ya Vikosi vya SMZ,
timu hizo zinashiriki michezo hiyo inayotarajiwa kufunguliwa kesho
uwanja wa Amaan na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein.
hupiti wala kutowa pasi
Kizazaa golini mwa timu ya JWTZ wakati wa mchezo wa kirafiki kuzinduwa
uwanja mpya wa michezo ya majeshi uliofunguliwa na Mkuu wa Majeshi ya
Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange, ikiwa ni maandalizi ya
michezo ya 8 ya Majeshi mwaka huu yanafanyika Zanzibar yanayotarajiwa
kufunguliwa kesho uwanja wa Amaan Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya Vikosi vya SMZ akijiandaa kutowa pasi wakati wa
mchezo wa kirafiki uliofanyika katika sherehe za Ufunguzi uwanja mpya
utakaofanyika michezo ya 8 ya Majeshi Zanzibar.
Mchezaji wa timu ya JWTZ mwenye mpira akijiribu kutowa pasi na huku
mchezaji wa timu ya Vikosi vya SMZ akijirabi kumzuiyawakati wa mchezo wa
kirafii wa uzinduzin wa uwanja huo migombani bavuai.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mamunyange akizungumza
na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya
sherehe ya Ufunguzi wa Uwanja mpya wa michezo ya Majeshi Zanzibar ukiwa
na uwezo wa kuchezwa michezo Minne kwa wakati tafauti, Mchezo wa Mpira
wa Kikapu, Mchezo wa Netiball, Mchezo wa Mpira wa mikono, uzinduzi huo
umefanyika katika viwanja vya michezo Migombani.
0 comments:
Post a Comment