Monday 25 August 2014


 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha baadhi ya CD feki za muziki ya wasanii mbalimbali wa muziki wa injili zilizokamatwa katika operesheni inayoendelea nchini. Watu 15 walikamatwa wakiuza CD hizo katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam. Kulia ni Mrakibu Mwandamizi wa Polisi,  ambaye ni mpelelezi wa Kituo cha Polisi cha Urafiki, Dar es Salaam, Denis Moyo na askari wa kituo hicho anayeongoza operesheni hiyo, Daniel Nonosiua.

 Sehemu ya CD zilizokamatwa zikiwa zimesambazwa katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo, Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment