Tuesday, 26 August 2014

Wajasiriamali mkoani ruvuma, wakifuatilia mafunzo walipokuwa katika ukumbi  wa familia takatifu parokia ya bombambili mjini songea

Wajasiriamali mkoani ruvuma, wakifuatilia mafunzo walipokuwa katika ukumbi  wa familia takatifu parokia ya bombambili mjini songea
Wajasiriamali mkoani ruvuma, wakifuatilia mafunzo walipokuwa katika ukumbi  wa familia takatifu parokia ya bombambili mjini songea walipokuwa kwenye mafunzo ya utengenezaji wa vitu mbalimbali kwa kutumia mikono, ikiwemo batiki, keki, ubuyu, krips na usindikaji wa vyakula na matunda yaliyoandaliwa na Kampuni ya Wajasriliamali Kwanza Entarprises ya jijini Dar es laam na kudhaminiwa na Benk ya wajasiriamali Tanzania (ACB).

Mkurugenzi wa Kampuni ya Wajasiriamali kwanza Dk. Didas Lujungu akifafanua jambo wakati alipokuwa azunguza na wajasiriamali wa mkoa wa Dodoma walioshirikai mafunzo ya utengenezaji na usindikaji wa bidhaa mbalimbali yaliyofanyika kwa siku 4.

moja ya wafanyakazi wa kituo cha utangazaji mkoani ruvuma jogoo fm akifuatilia mafunzo hayo kwa ukaribu zaidi ili apate kuongeza ujuzi katika maisha yake.

0 comments:

Post a Comment