Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Vodacom Tanzania,
Rosalynn Mworia akifafanua jambo kwa washiriki walioingia robo fainali
katika shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom
Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani
jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na
kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na Mshindi wa shindano hilo
atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Washiriki
walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100% wakimsikliza kwa
makini Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,
Kelvin Twissa walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo
Mlimani City jijini Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni
sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo
litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania na Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi
Milioni 5.
Mkuu
wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa
akipozi kwenye picha na baadhi ya washiriki walioingia robo fainali ya
shindano la Dance 100% litakalofanyika Agosti 23 walipotembelea makao
makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam na
kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya
Vijana duniani jana.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na Mshindi wa
shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Baadhi
ya washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100%
wakifurahi jambo pamoja na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,
Matina Nkurlu wakati walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo
Mlimani City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujifunza mambo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani
jana.Shindano hilo litakalofanyika Agost 23 limeandaliwa na EATV na
kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia
kitita cha shilingi Milioni 5.
Mkuu
wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Najenjwa Mbagga
akifafanua jambo kwa baadhi ya washiriki walioingia robo fainali ya
shindano la Dance 100% walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania
yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani
jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na
kudhaminiwa na kampuni hiyo.Mshindi wa shindano hilo atajinyakulia
kitita cha shilingi Milioni 5.
Mmoja
wa wafanyakazi wa kitengo cha Huduma kwa wateja Eunice Mjema
akiwaelezea baadhi ya washiriki walioingia robo fainali katika shindano
la Dance 100% jinsi wanavyotoa huduma kwa wateja mara walipotembelea
makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es
Salaam, kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni sehemu ya
kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo limeandaliwa na
EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.Mshindi wa shindano hilo
atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Meneja
wa Huduma kwa wateja ,Neema Kisanga akiwaasa washiriki walioingia robo
fainali katika shindano la Dance 100% juu ya kuweza kujituma na
kujithamini kwa kuendeleza vipaji vyao ili waweze kufikia malengo yao,
wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani
City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa
ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo
litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi
Milioni 5.
Mmoja
wa washiriki walioingia robo fainali ya shindano la Dance 100%
akionyesha moja ya staili ya kucheza zinazotumika katika shindano hilo
wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani
City jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa
ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hilo
limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa
shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
SIJASAHAU
ENZI ZANGU. Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,
Kelvin Twissa akionyesha umahiri wake wa kusakata miondoko ya Dance
sambamba na mmoja wa washiriki aliyeingia robo fainali ya shindano la
Dance 100%wakati walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo
Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani
jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na
kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo
atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Mmoja
wa washiriki aliyeingia robo fainali katika shindano la Dance100%
akimfundisha Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation,Yessaya
Mwakifulefule namna ya kucheza staili ya “Huku!” wanaoitumia katika
shindalo hilo wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania
yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani
jana.Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom
Tanzania na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi
Milioni 5.
Ofisa
Mkuu wa Masoko Charity Safford akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
washiriki war obo fainali ya shindano la Dance 100% wakati
walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni
sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani jana.Shindano hili
lilliloandaliwa na EATV na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania litafanyika
Agosti 23 na mshindi wa shindano hilo atajinyakulia kitita cha shilingi
Milioni 5.
Mkuu
wa Idara ya kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule
akifafanua jambo kwa baadhi ya washiriki wa robo fainali ya shindano la
Dance 100% wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania
yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujifunza mambo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana duniani
jana.Shindano hilo litakalofanyika Agosti 23 limeandaliwa na EATV na
kudhaminiwa na Vodacom Tanzania na mshindi wa shindano hilo
atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5.
Baadhi
ya waashiriki wa robo fainali ya shindano la Dance 100% wakiwa katika
picha ya pamoja wakati walipotembelea makao makuu ya Vodacom Tanzania
yaliyopo mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza
shughuli mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku ya Vijana
Duniani iliyofanyika jana duniani kote.Kampuni hiyo ni wadhamini wakuu
wa shindano hilo ambapo robo fainali itafanyika Agosti 23 mwaka huu
kwa kuvishindanisha vikundi 16.
0 comments:
Post a Comment