Tuesday 12 August 2014

 nyumba ambayo imenusrika kuteketa kwa moto barabara ya sokoine manispaa ya songea.
wakazi wa mji wa songea wakiwa wamekusanyika katika eneo hilo.

 SOMA HAPA.
Nyumba moja ya ghorofa tatu mali ya bwn Mohamed alamudi  mkazi songea mjini barabara sokoine manispaa ya songea  imenunsurika kuteketea kwa moto baada ya kuzuka ghafla katika eneo hilo

Akithibitisha kutokea kwa tukioa hilo kaimu kamanda wa jeshi la zimamoto na uokoaji mkoa wa ruvuma james john amesema walipokea taarifa za kutekea kwa nyumba hiyo kutoka kwa wasamalia wema wa mtaa huyo.
Naye kmanda wa jeshi la polisi mko wa ruvuma mihayo msikhela amesema jeshi hilo linaendelea uchunguzi ili kujua chanzo ambacho kimesababisha kutokea kwa tatizo hilo huku akitoa rai kwa wamiliki wenye nyumba kubwa kama hizo kutumia viashiria moto vinatoa taarifa za haraka na kuweza kutambua.

0 comments:

Post a Comment