Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga
kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania, iliyofanyika jana
Agosti 13, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Ilongero, John Andrea (wa pili kulia) na Thobias Clement, wakati
wakimuelezea jinsi walivyoweza kufanya utafiti na kugundua matumizi ya
Kinyesi cha wanyama kuzalisha Umeme, wakati Makamu alipokuwa akitembelea
katika mabanda ya maonesho ya Wanasayansi wachanga, yaliyofanyika jana
Agosti 13, 2014 sambamba na utoaji tuzo za washindi wa maonesho hayo,
katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo kwa Wanasayansi wachanga
kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania, iliyofanyika jana
Agosti 13, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Lumumba ya mjini Zanzibar, Dhariha Amour (kulia) na Salma Khalfan (wa
pili kulia) wakati wakimuelezea jinsi walivyoweza kufanya utafiti wa
kutumia Karafuu na Limao kutengeneza dawa ya kufukuza Inzi , wakati
Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Wanasayansi
wachanga, yaliyofanyika jana Agosti 13, 2014 sambamba na utoaji tuzo za
washindi wa maonesho hayo, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar
es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwakabidhi Tuzo washindi wa jumla wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Lumumba ya mjini Zanzibar, Dhariha Amour (wa pili kushoto) na Salma
Khalfan (wa tatu kulia) baada ya kutangazwa kuwa washindi wa jumla
katika maonesho ya Wanasayansi wachanga kwa kufanya utafiti wa
kutumia Karafuu na Limao kutengeneza dawa ya kufukuza Inzi , wakati wa
halfa ya utoaji Tuzo hizo wa wanasayansi wachanga iliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana Agosti 13, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea mabanda ya maonesho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia jambo baada ya kuwakabidhi Tuzo washindi wa jumla wanafunzi
wa Shule ya Sekondari ya Lumumba ya mjini Zanzibar, Dhariha Amour (wa
pili kushoto) na Salma Khalfan (wa tatu kulia) baada ya kutangazwa kuwa
washindi wa jumla katika maonesho ya Wanasayansi wachanga kwa kufanya
utafiti wa kutumia Karafuu na Limao kutengeneza dawa ya kufukuza Inzi ,
wakati wa halfa ya utoaji Tuzo hizo wa wanasayansi wachanga
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam jana
Agosti 13, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na baadhi ya viongozi kushuhudia zoezi la utoaji tuzo za
wanasayansi Wachanga lililofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jana
.
0 comments:
Post a Comment