Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael
Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa
kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano
uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha,
Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
Mkurugenzi
wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)
kuhusu mpango wa kuanza kutoa mikopo ya dawa kwa vituo ambavyo
vimesajiliwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Kulia ni Mkurugenzi wa
Masoko na Utafiti kutoka Mfuko huo Bw. Raphael Mwamoto.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwasikiliza wawasilishaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
0 comments:
Post a Comment