Sunday 3 August 2014


Usain Bolt
Bingwa wa michezo ya Olimpiki katika mbio za mita 100 Usain Bolt ameiongoza Jamaica kushinda medali ya dhahabu katika michezo ya jumuiya ya madola nchini Scotland.
Bolt alikimbia mita mia moja za mwisho baada ya kupokezwa kijiti ambapo Jamaica ilishinda kwa urahisi na kuweka rekodi mpya katika michezo hiyo ya sekunde 37.
Ilikuwa medali ya kwanza ya mwanariadha huyo.
Mbio hizo za kupokezana vijiti ndio zilizokuwa za mwisho na zenye msisimuko mkubwa katika mpango

0 comments:

Post a Comment