Saturday 16 August 2014



Askari wa kikosi cha Zimamoto wakifika eneo la tukio asubuhi hii

Wananchi wakishuhudia juhudi za kuzima moto huo



Moto ukiendelea 
Juhudi zikiendelea.
 
Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini. 
 Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa. 
  Huku jitihada  kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi kikijaribu kuzima moto huo ambao hata hivyo ulikwisha teketeza sehemu kubwa ya  kituo hicho cha kupozea umeme.

0 comments:

Post a Comment