Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Mbagala Youth Group Said Mponda baada ya kuzipokea kutoka kwa Shirika la Nyumba la Taifa NHC ambalo limetoa mashine kwa vikundi hivyo ili kusaidia serikali katika kupambana na tatizo la ajira nchini kwa vijana mashine hizo zilikabidhiwa kwa mkuu wa wilaya na Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC tawi la Temeke Bw. Wencenslaus Tillya.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipokea mashine za kufyatulia matofali kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Wilaya ya Temeke Bw. Wencenslaus Tillya ambazo zilikabidhiwa kwa vikundi vya vijana wilayani humo.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine kwa mwenyekiti wa kikundi cha Sokoine Youth Development William Gabriel.
0 comments:
Post a Comment