Friday 5 September 2014

PIX 1. (1)Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongeza Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX 2. (2)Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fatma Hamid Saleh akiwasilisha taarifa ya kamati yake kwenye Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX 4. (1)Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba nao wakiwasilisha taarifa za kamati zao kwenye Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX 6.Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa toka kamati mbalimbali Bungeni humo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX 15.
Baadhi ya Masheikh kama wageni waliopata kuhudhuria Bunge Maalum la Katiba kusikiliza mchakato wa uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX 16.Wanafunzi toka shule ya Sekondari ya Loyola iliyopo Dar es Salaam na Shule ya Chilonwa iliyopo Dodoma wakiwa ndani ya Bunge Maalum la Katiba huku wakisikiliza jinsi ya uwasilishwaji wa taarifa za kamati mbalimbali leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
PIX 19.Baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo mara baada ya kuhairishwa kwa Bunge hilo leo 5 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

0 comments:

Post a Comment