Naibu
Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Dkt. Kebwe Stephen
Kebwe akiwahutubia wadau mbalimbali waliohudhuria sherehe ya Uzinduzi
Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni
mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Balozi
wa Uswisi nchini Tanzania, Mhe. Balozi Oliver Chave akitoa hotuba yake
mbele ya wadau mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya Uzinduzi
Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni
mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi akitoa maelezo mazuri kuhusiana
na faida ya Uzinduzi Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa
na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11
Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Dkt.
Karin ambaye pia ni mdau wa Mfumo wa upatikanaji wa dawa na Vifaa Tiba
kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma akitoa shukurani zake za dhati kwa
wadau mbalimbali waliohudhuria sherehe za Uzinduzi wa Mfumo huo leo
tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Baadhi
ya wadau toka sehemu mikoa mbalimbali wakifuatilia hotuba
zikizowasilishwa na viongozi katika sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa
Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa
Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Kikundi
cha Ngoma cha mjini Dodoma kikitumbuiza mbele ya mgeni rasmi wakati wa
sherehe ya Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa
Tiba kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014
mjini Dodoma.
Baadhi
ya Waandishi wa habari wakichukua matukio wakati wa sherehe ya Uzinduzi
Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba kupitia
Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini Dodoma.
Wadau
wa Mfumo wa upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kupitia mzabuni mmoja
mkoa wa Dodoma wakitiliana saini makubaliano wakati wa sherehe ya
Uzinduzi Uboreshaji wa Mfumo wa Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba
kupitia Mzabuni mmoja mkoa wa Dodoma, leo tarehe 11 Septemba, 2014 mjini
Dodoma.
0 comments:
Post a Comment