Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,
Mbunge wa Tunduru mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi
Matsunaga na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB) Bibi
Tonia Kandiero wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi
Barabara ya kilometa 195.7 ya Matemanga Tunduru-Mangaka uliofanyika
Tunduru mjini.Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia
wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika
ADB na shirika la maendeleo la Japan JICA.Hafla ya uzinduzi huo
ilifanyika mjini Tunduru jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Matemanga-Tunduru
hadi Mangaka yenye urefu wa kilometa 195.7 wakati wa hafla iliyofanyika
mjini Tunduru leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mbunge wa
Tunduru Mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga,
Mwakilishi Mkazi wa ADB Bi.Tonia Kandiero na waairi wa Ujenzi John
Pombe Magufuli. Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia
wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika
ADB na shirika la maendeleo la Japan JICA.(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment