Wednesday 23 July 2014


Jezi 900 za mshambuliaji mpya wa Real Madrid, James Rodriguez zimeuzwa ndani ya saa moja.


Jezi hizo namba 10 zimeuzwa kwenye duka la Real Madrid na imeonyesha kiasi gani raia huyo wa Colombia anavyokubalika.
Rodriguez ametua Madrid akitokea AS Monaco huku akiwa ndiye mfungaji bora wa Kombe la Dunia nchini Brazil baada ya kupachika mabao 6.
Lakini kinda huyo ndiye alifunga bao kali zaidi katika michuano hiyo.

0 comments:

Post a Comment