Saturday 26 July 2014

Screen Shot 2014-07-26 at 5.46.05 AM
Picha kwa hisani ya ubalozi wa Marekani Tanzania
U.S. Embassy Public Affairs Officer Ms. Marissa Maurer kushoto akikabithi ticket kwa Mtangazaji kutoka Clouds Media group (Choice FM 102.5)  Louissa Babbie Kabae ambae pia ni brand Manager kushiriki kwenye U.S. Commitment to Africa Reporting Tour kuanzia July 26 through August 8 nchini Marekani.
Kabae ataungana na Waandishi wengine zaidi ya 20 kutoka nchi mbalimbali Afrika kwenye tour Washington DC na kwenye jiji la Atlanta kwa ajili ya U.S – African Leaders Summit and Young African Leadership Initiative (YALI) Forum hosted by President Obama.

0 comments:

Post a Comment