SOMA BARUA ZOTE HAPA
Wiki
moja baada ya mgogoro kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi
kudaiwa kumalizika mapya yaibuka wachungaji wake Sita wasimamishwa
kutoa huduma ya kiroho
Makamu
mwenyekiti Zacharia Sichone adaiwa kukiuka maazimio ya ya kikao cha
usuluhishi kilichofanyika kwa mkuu wa wilaya ya Mbeya Dk . Norman
Sigalla cha julai 16 Mwaka huu
Wachungani waliosimamishwa waja juu na kutoa tamko zito
0 comments:
Post a Comment