RSS Feed Twitter

PONDAMALI NA MATUKIO

Sample Text

Pages

  • Home

Sample Text

Sample text

Pages

  • Home
Powered by Blogger.

Social Icons

Social Icons

Followers

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2015 (21)
    • ►  June (2)
    • ►  May (13)
    • ►  February (5)
    • ►  January (1)
  • ▼  2014 (382)
    • ▼  December (16)
      • NAKUSHAURI RAIS WANGU KIKWETE, MUACHE MUHONGO AMAL...
      • Bayport yamjaza manoti mwanafunzi wa MUCE.
      • MAHABUSU APIGWA RISASI AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA...
      • Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Hand...
      • MAGAZETI YA LEO JUMATANO DESEMBA 31,2014 SOMA HAPA.
      • RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AMTOSA WAZIRI WA ARDHI PRO...
      • Rais Kikwete azungumza na wazee
      • Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha .
      • TUKIO LA UJAMBAZI,MLANDEGE ZANZIBAR LEO .
      • Mahakama yawalazimisha watu kuvaa kinga kabla ya k...
      • Mtanzania ahukumiwa maisha kwa mauaji.
      • Escrow:Je Kikwete atategua kitendawili?
      • Wakala wa huduma za misitu songea yakutana na wafa...
      • PONDAMALI NA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TRH 19.12.2014...
      • Purukushani bungeni nchini Kenya
      • Kilio cha Albino Tanzania
    • ►  September (78)
    • ►  August (218)
    • ►  July (70)

Popular Posts

  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mamunyange Azinduwa Uwanja wa Michezo ya Majeshi Zanzibar. ;
    Waandishi wakipata maelekezo ya Uzinduzi wa Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi Zanziba...
  • NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC;
       Wachezaji  wa  Simba na Ndanda FC wakiingia Uwanjani wakati wa mchezo wa maalum wa kusherehekea N...
  • Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati
    Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...
  • Abiria wahangaika mgomo wa Tazara ukianza
    Mgomo wa wafanyikazi wa Tazara wawahangaisha abiria Sehemu kubwa ya wafanyakazi wa mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia ...
  • WAVUVI WA MWAMBAO WA ZIWA NYASA WATOA DUKUDUKU ZAO KWA SERIKALI ILI KUNUSURU AFYA ZAO.
    Ziwa Nyasa limezungukwa na nchi tatu ambazo ni Tanzania,Malawi na Msumbuji.Ziwa hilo lipo kwenye usawa wa meta 500 toka usawa wa bahari, ...
  • VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JANUARI 3.SOMA HAPA.
  • MKOA WA DODOMA KUZINDUA MRADI WA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA DAWA KATIKA HOSPITALI NA ZAHANATI KESHO;
    Mkoa wa Dodoma unatarajia kuzindua  Mradi wa Kuboresha na kuimarisha mfumo wa uuzaji na usambazaji wa dawa ...
  • WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
          Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua shughuli za ufungashaji mahindi na Mt...
  • SIKU YA MASHUJAA YAFAANA MKOANI IRINGA.
    Friday, 25 July 2014 ...
  • Fahamu aina 10 Ya Vyakula Vinavyoongeza Uwezo Katika Tendo La Ndoa............
      Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa ...

Featured Posts

  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

Thursday, 11 December 2014

Kilio cha Albino Tanzania

11:30 Unknown
Wanachama wa chama cha maalbino wakitembelea kisiwani ambako wanaishi walemavu wa ngozi
Mtobi Namigambo, ni mvuvi anayeuza samaki, amekaa kwa utulivi nje ya nyumba yake ya matope katika kisiwa cha ukerewa mahali ambapo zamani palikuwa makao ya albino lakini kwa sasa si hivyo. Mtoto wake wa miaka nne May Mosi ameketi kwenye paja lake akionyesha umarufu wake wa hisabati kwa kuhesabau moja hadi kumi kwa ujasiri.
Mara kwa mara Mtobi anamtazama mke wake, Sabina, ambaye ameketi kwa mkeka kando yake akitayarisha chakula cha jioni. Watoto wake wengine wawili wanachezea hapa karibu na pia wamejaliwa na mtoto mchanga amabye yuko chumbani analala.
May alipokuwa na umri wa miezi mitatu, aliponea jaribio la kutekwa nyara.
Albino wanauawa kinyama kwa ajili ya imani potovu
" nilikuwa nimeenda ziwani kuvua samaki. walikuwa pekee yao nyumbani wavamizi walipokuja, mke wangu alitorokea kwa dirisha na kukimbillia usalama akiwa na May, na akawawacha watoto hawa wawili nyumabani ambao hawakuwadhuru kabisa", Mtobi ananiarifu.
"Wavamazi hao walikuwa wakimtaka May," Sabina anaongezea, "mume wangu alikuwa ameenda safari ya uvuvi na wavamizi hao walijua na hio ndio sababu walikujia mtoto wangu, baada ya kutorokea kwa dirisha, bado waliniandama huku nikipiga mayoye ya usaidizi, waliwacha kuniandama wakati tu niliwaamsha majirani"
May ni mojawapo wa Albino sabini wanaoishi katika kisiwa hiki cha Ukerewa ambacho ni masaa matatu tu kutoka mwanza, mji wa pili mkubwa zaidi Tanzania.
Elimu kwa jamii
Mtobi anasema "tunaiomba serikali kufanya juhudu zaidi za kuelimisha jamii hapa, serikali ishawahi kuandaa majadiliano kuhusu Albino na kulikuwa na mabadiliko makuwa, akini si hivyo tena"
Shirika lisilo la kiserekali chini ya mrengo wa 'The Same Sun' linalowashughulikia jamii ya Albino hapa Ukerewa, linasema kuwa kisiwa hiki hakina usalama kando na vile watu wangependa kuamini.
Idadi ya maalbino waliouawa ni kubwa na kuna hofu ya wengine wengi kuuawa kutokana na imani potovu
Mwenye kiti wa chama cha maalbino tawi la Mwanza, (TAS) Alfred Kapole, mzaliwa wa Ukerewe, alilazimika kutorokea mji wa Mwanza akiwa mmoja wa albino wa kwanza kufika kortini baada ya kiognozi mmoja wa kijiji akitaka kumuua kwa ajili ya nywele zake.
Mwaka uliopita boma lake lilivamiwa, kwa bahati nzuri alikuwa ameenda mwanza. Kulikuwa na jairibio lEngine la kumuua mwaka huu.
Kampeni kabambe
Serikali ya Tanzania imeanzisha kampeni ili kuchangisha fedha za kuelimisha jamii.
Kampeni nyingi za uhamasishaji hufanyika mijini kwani ni rahisi kufikia watu,lakini ni vijiji ndivyo vinahitaji msaada zaidi.
Ramadhan Khalfan, ambaye ni mwenyekiti wa chama cha albino Ukerewa,anasema kuwa wanataka kufikia maeneo ya vijiji na kuzungumza na watu,lakini ni vigumu kutokana na ukosefu wa fedha za kutosha.''Hatuna uwezo ama njia za kufikia jamii zilizoko vijijini.Aliongezea kusema,''tunategemea pakubwa redio na televisheni,lakini hatuwezi kufika mashinani kwa sababu ya gharama.''
Mnara unaowapa matumaini watanzania Serengema
Sehemu ya Serengema inapatikana kilomita 60 (maili 33.5) kutoka Mwanza.Ili kusisitiza shida hii,umejengwa mnara katika mzunguko katikati ya mji.
Ni sanamu ya chuma kimo cha binadamu,inayoonyesha baba mwenye rangi akimbeba begani mto wake albino huku mama yake mwenye rangi akitundika kofia yenye ukingo mpana kwenye kichwa cha mwana huyo kumkinga kutokana na miale ya jua.Pia kuna majina ya watu 139 ya waathiriwa waliouawa,kuvamiwa ama miili yao kuibiwa kutoka kwenye makaburi.
Serengema ndio sehemu iliyoathirika vibaya zaidi.
Kuna mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali yanayofanya kazi pamoja na chama cha Tanzania Albino katika kuhamasisha na pia kujenga makaazi.
Mashirika yasiyo ya kiserikali yanaamini kuwa uhamasisho na kuacha imani potovu zinaweza kusimamisha mauaji haya.
Kamanda mkuu wa polisi mjini Mwanza anasema kuna changamoto nyingi sana katika kukabiliana na mauaji ya Albino
Mwakilishi wa chama cha Serengema Mashaka Benedict anasema kuwa watu bado wanaamini kuwa sehemu za mwili wa albino zinaweza kuleta utajiri.''Kama hiyo ndiyo hali,mbona sisi si matajiri?''anauliza.
Anadai kuwa watu mashuhuri wanahusika katika ''biashara ya mauaji'' na ndio maanake watu wachache sana wamekamatwa,kushitakiwa,kupatikana na hatia ama kufungwa.''Itakuwa vipi masikini kutoa dola 10,000 kwa kipande cha mwili?,ni wanabiashara na wanasiasa ndio wanaohusika.''
Hata hivyo polisi wanasema kuwa wanachungunza kila moja ya visa lakini wanakosa ushahidi wa kuthibitisha madai yanayotolewa.Kamanda wa polisi wa Mwanza,Valentino Mlolowa anasema,''Kesi hizi ni ngumu kwa kuwa visa hufanyika mashinani sana katika sehemu ambazo hazina stima kwa mfano,na hiyo inafanya kuwajua wahalifu usiku kuwa vigumu.Tunachunguza kila moja ya kesi na madai,lakini kama uonavyo,si rahisi.''
Yaweza onekana kama kuwa tumepoteza kila kitu lakini hii haiwazuilii watu wanaoishi na hali ya Uhalbino kama May Mosi,kutokuwa na tumaini kuwa fedha zinazochangishwa kutoka kwenye kampeni iliyoanzishwa na serikali zitasaidia kusikizwa zaidi kwa Albino nchini Tanzania.

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)
Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

Popular Posts

  • Serikali yatumia zaidi ya Bilioni 16 kujenga Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo (the law school of Tanzania)
          Afisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (Law School) Bi. Scholastica Njozi ak...
  • RAIS KIKWETE AUTIKISA MJI WA GAIRO;
    Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogor...
  • WATU WANNE MBARONI KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA MAUAJI KATAVI
    Watu wanne wanashikiliwa na Polisi Mkoani Katavi kwa tuhuma za kuhusishwa na mauaji ya mtoto aitwaye Regina Geofrey mwenye umri wa mwak...
  • RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI SIKU YA MASHUJAA.
    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari k...
  • Bayport yamjaza manoti mwanafunzi wa MUCE.
    Mratibu wa Bima ya Elimu ya Bayport Tanzania, Ruth Bura kulia, akizungumza jambo katika makabidhiano ya hundi kwa bwana  Kennedy Kaupen...
  • Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati
    Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...
  • Sakata la miili Tanzania,wanane mbaroni
    Kamanda wa polisi kanda maalum ya D...
  • Prof Lipumba ajitosa urais Ukawa.
    Mbio za urais zimezidi kupamba moto kwa upande wa upinzani baada ya Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia ya kugombea ...
  • Magazeti ya Leo Jumanne septemba 2;
  • TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU BASI LILILOPIGWA BOMU MKOANI KIGOMA NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI KUTOKEA BURUNDI ;
    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu WATU watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya watu wanaosadikiwa ku...

Blogger templates

Blog Archive

  • ►  2015 (21)
    • ►  June (2)
    • ►  May (13)
    • ►  February (5)
    • ►  January (1)
  • ▼  2014 (382)
    • ▼  December (16)
      • NAKUSHAURI RAIS WANGU KIKWETE, MUACHE MUHONGO AMAL...
      • Bayport yamjaza manoti mwanafunzi wa MUCE.
      • MAHABUSU APIGWA RISASI AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA...
      • Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Hand...
      • MAGAZETI YA LEO JUMATANO DESEMBA 31,2014 SOMA HAPA.
      • RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AMTOSA WAZIRI WA ARDHI PRO...
      • Rais Kikwete azungumza na wazee
      • Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha .
      • TUKIO LA UJAMBAZI,MLANDEGE ZANZIBAR LEO .
      • Mahakama yawalazimisha watu kuvaa kinga kabla ya k...
      • Mtanzania ahukumiwa maisha kwa mauaji.
      • Escrow:Je Kikwete atategua kitendawili?
      • Wakala wa huduma za misitu songea yakutana na wafa...
      • PONDAMALI NA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TRH 19.12.2014...
      • Purukushani bungeni nchini Kenya
      • Kilio cha Albino Tanzania
    • ►  September (78)
    • ►  August (218)
    • ►  July (70)
Copyright © PONDAMALI NA MATUKIO |imetengenezwa na> VOSE ARTS 0786064208 Bonyeza Hapa
Design by NewWpThemes | Blogger Theme by Lasantha - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com