RSS Feed Twitter

PONDAMALI NA MATUKIO

Sample Text

Pages

  • Home

Sample Text

Sample text

Pages

  • Home
Powered by Blogger.

Social Icons

Social Icons

Followers

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2015 (21)
    • ►  June (2)
    • ►  May (13)
    • ►  February (5)
    • ►  January (1)
  • ▼  2014 (382)
    • ▼  December (16)
      • NAKUSHAURI RAIS WANGU KIKWETE, MUACHE MUHONGO AMAL...
      • Bayport yamjaza manoti mwanafunzi wa MUCE.
      • MAHABUSU APIGWA RISASI AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA...
      • Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Hand...
      • MAGAZETI YA LEO JUMATANO DESEMBA 31,2014 SOMA HAPA.
      • RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AMTOSA WAZIRI WA ARDHI PRO...
      • Rais Kikwete azungumza na wazee
      • Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha .
      • TUKIO LA UJAMBAZI,MLANDEGE ZANZIBAR LEO .
      • Mahakama yawalazimisha watu kuvaa kinga kabla ya k...
      • Mtanzania ahukumiwa maisha kwa mauaji.
      • Escrow:Je Kikwete atategua kitendawili?
      • Wakala wa huduma za misitu songea yakutana na wafa...
      • PONDAMALI NA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TRH 19.12.2014...
      • Purukushani bungeni nchini Kenya
      • Kilio cha Albino Tanzania
    • ►  September (78)
    • ►  August (218)
    • ►  July (70)

Popular Posts

  • Abiria wahangaika mgomo wa Tazara ukianza
    Mgomo wa wafanyikazi wa Tazara wawahangaisha abiria Sehemu kubwa ya wafanyakazi wa mamlaka ya reli ya Tanzania na Zambia ...
  • Nishati na Madini kuanzisha Mpango wa Taifa wa Matumizi Bora ya Nishati
    Mtaalamu kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...
  • WAVUVI WA MWAMBAO WA ZIWA NYASA WATOA DUKUDUKU ZAO KWA SERIKALI ILI KUNUSURU AFYA ZAO.
    Ziwa Nyasa limezungukwa na nchi tatu ambazo ni Tanzania,Malawi na Msumbuji.Ziwa hilo lipo kwenye usawa wa meta 500 toka usawa wa bahari, ...
  • NSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC;
       Wachezaji  wa  Simba na Ndanda FC wakiingia Uwanjani wakati wa mchezo wa maalum wa kusherehekea N...
  • VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI JANUARI 3.SOMA HAPA.
  • MKOA WA DODOMA KUZINDUA MRADI WA KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA DAWA KATIKA HOSPITALI NA ZAHANATI KESHO;
    Mkoa wa Dodoma unatarajia kuzindua  Mradi wa Kuboresha na kuimarisha mfumo wa uuzaji na usambazaji wa dawa ...
  • Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mamunyange Azinduwa Uwanja wa Michezo ya Majeshi Zanzibar. ;
    Waandishi wakipata maelekezo ya Uzinduzi wa Uwanja Mpya wa Michezo ya Majeshi Zanziba...
  • ZAIDI YA WAKAZI 100 WA KIJIJI CHA HONDOGO, KATA YA KIBAMBA WILAYANI KINONDONI DAR ES SALAAM WANALALA NJE
    ZAIDI ya wakazi 100 wa Kijiji cha Hondogo, Kata ya Kibamba wilayani Kinondoni Dar es Salaam wanalala nje baada ya nyumba zao kubomolewa na...
  • WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA (NFRA) KANDA YA DODOMA INAKABILIWA NA UFINYU WA ENEO LA KUHIFADHIA MAZAO MSIMU HUU WA UNUNUZI WA MAZAO
          Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akikagua shughuli za ufungashaji mahindi na Mt...
  • AFISA USALAMA FEKI, ANASWA NA SILAHA ZA KIVITA: CHEKI HAPA ===>
    Baadhi ya silaha zilizokamatwa na jeshi la polisi. Kamanda Suleiman Kova akionyesha  silaha zilizokamatwa kwa wanahabari...

Featured Posts

  • Home
  • Business
    • Internet
    • Market
    • Stock
  • Downloads
    • Dvd
    • Games
    • Software
      • Office
  • Parent Category
    • Child Category 1
      • Sub Child Category 1
      • Sub Child Category 2
      • Sub Child Category 3
    • Child Category 2
    • Child Category 3
    • Child Category 4
  • Featured
  • Health
    • Childcare
    • Doctors
  • Uncategorized

Thursday, 11 December 2014

Kilio cha Albino Tanzania

11:30 Unknown
Wanachama wa chama cha maalbino wakitembelea kisiwani ambako wanaishi walemavu wa ngozi
Mtobi Namigambo, ni mvuvi anayeuza samaki, amekaa kwa utulivi nje ya nyumba yake ya matope katika kisiwa cha ukerewa mahali ambapo zamani palikuwa makao ya albino lakini kwa sasa si hivyo. Mtoto wake wa miaka nne May Mosi ameketi kwenye paja lake akionyesha umarufu wake wa hisabati kwa kuhesabau moja hadi kumi kwa ujasiri.
Mara kwa mara Mtobi anamtazama mke wake, Sabina, ambaye ameketi kwa mkeka kando yake akitayarisha chakula cha jioni. Watoto wake wengine wawili wanachezea hapa karibu na pia wamejaliwa na mtoto mchanga amabye yuko chumbani analala.
May alipokuwa na umri wa miezi mitatu, aliponea jaribio la kutekwa nyara.
Albino wanauawa kinyama kwa ajili ya imani potovu
" nilikuwa nimeenda ziwani kuvua samaki. walikuwa pekee yao nyumbani wavamizi walipokuja, mke wangu alitorokea kwa dirisha na kukimbillia usalama akiwa na May, na akawawacha watoto hawa wawili nyumabani ambao hawakuwadhuru kabisa", Mtobi ananiarifu.
"Wavamazi hao walikuwa wakimtaka May," Sabina anaongezea, "mume wangu alikuwa ameenda safari ya uvuvi na wavamizi hao walijua na hio ndio sababu walikujia mtoto wangu, baada ya kutorokea kwa dirisha, bado waliniandama huku nikipiga mayoye ya usaidizi, waliwacha kuniandama wakati tu niliwaamsha majirani"
May ni mojawapo wa Albino sabini wanaoishi katika kisiwa hiki cha Ukerewa ambacho ni masaa matatu tu kutoka mwanza, mji wa pili mkubwa zaidi Tanzania.
Elimu kwa jamii
Mtobi anasema "tunaiomba serikali kufanya juhudu zaidi za kuelimisha jamii hapa, serikali ishawahi kuandaa majadiliano kuhusu Albino na kulikuwa na mabadiliko makuwa, akini si hivyo tena"
Shirika lisilo la kiserekali chini ya mrengo wa 'The Same Sun' linalowashughulikia jamii ya Albino hapa Ukerewa, linasema kuwa kisiwa hiki hakina usalama kando na vile watu wangependa kuamini.
Idadi ya maalbino waliouawa ni kubwa na kuna hofu ya wengine wengi kuuawa kutokana na imani potovu
Mwenye kiti wa chama cha maalbino tawi la Mwanza, (TAS) Alfred Kapole, mzaliwa wa Ukerewe, alilazimika kutorokea mji wa Mwanza akiwa mmoja wa albino wa kwanza kufika kortini baada ya kiognozi mmoja wa kijiji akitaka kumuua kwa ajili ya nywele zake.
Mwaka uliopita boma lake lilivamiwa, kwa bahati nzuri alikuwa ameenda mwanza. Kulikuwa na jairibio lEngine la kumuua mwaka huu.
Kampeni kabambe
Serikali ya Tanzania imeanzisha kampeni ili kuchangisha fedha za kuelimisha jamii.
Kampeni nyingi za uhamasishaji hufanyika mijini kwani ni rahisi kufikia watu,lakini ni vijiji ndivyo vinahitaji msaada zaidi.
Ramadhan Khalfan, ambaye ni mwenyekiti wa chama cha albino Ukerewa,anasema kuwa wanataka kufikia maeneo ya vijiji na kuzungumza na watu,lakini ni vigumu kutokana na ukosefu wa fedha za kutosha.''Hatuna uwezo ama njia za kufikia jamii zilizoko vijijini.Aliongezea kusema,''tunategemea pakubwa redio na televisheni,lakini hatuwezi kufika mashinani kwa sababu ya gharama.''
Mnara unaowapa matumaini watanzania Serengema
Sehemu ya Serengema inapatikana kilomita 60 (maili 33.5) kutoka Mwanza.Ili kusisitiza shida hii,umejengwa mnara katika mzunguko katikati ya mji.
Ni sanamu ya chuma kimo cha binadamu,inayoonyesha baba mwenye rangi akimbeba begani mto wake albino huku mama yake mwenye rangi akitundika kofia yenye ukingo mpana kwenye kichwa cha mwana huyo kumkinga kutokana na miale ya jua.Pia kuna majina ya watu 139 ya waathiriwa waliouawa,kuvamiwa ama miili yao kuibiwa kutoka kwenye makaburi.
Serengema ndio sehemu iliyoathirika vibaya zaidi.
Kuna mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali yanayofanya kazi pamoja na chama cha Tanzania Albino katika kuhamasisha na pia kujenga makaazi.
Mashirika yasiyo ya kiserikali yanaamini kuwa uhamasisho na kuacha imani potovu zinaweza kusimamisha mauaji haya.
Kamanda mkuu wa polisi mjini Mwanza anasema kuna changamoto nyingi sana katika kukabiliana na mauaji ya Albino
Mwakilishi wa chama cha Serengema Mashaka Benedict anasema kuwa watu bado wanaamini kuwa sehemu za mwili wa albino zinaweza kuleta utajiri.''Kama hiyo ndiyo hali,mbona sisi si matajiri?''anauliza.
Anadai kuwa watu mashuhuri wanahusika katika ''biashara ya mauaji'' na ndio maanake watu wachache sana wamekamatwa,kushitakiwa,kupatikana na hatia ama kufungwa.''Itakuwa vipi masikini kutoa dola 10,000 kwa kipande cha mwili?,ni wanabiashara na wanasiasa ndio wanaohusika.''
Hata hivyo polisi wanasema kuwa wanachungunza kila moja ya visa lakini wanakosa ushahidi wa kuthibitisha madai yanayotolewa.Kamanda wa polisi wa Mwanza,Valentino Mlolowa anasema,''Kesi hizi ni ngumu kwa kuwa visa hufanyika mashinani sana katika sehemu ambazo hazina stima kwa mfano,na hiyo inafanya kuwajua wahalifu usiku kuwa vigumu.Tunachunguza kila moja ya kesi na madai,lakini kama uonavyo,si rahisi.''
Yaweza onekana kama kuwa tumepoteza kila kitu lakini hii haiwazuilii watu wanaoishi na hali ya Uhalbino kama May Mosi,kutokuwa na tumaini kuwa fedha zinazochangishwa kutoka kwenye kampeni iliyoanzishwa na serikali zitasaidia kusikizwa zaidi kwa Albino nchini Tanzania.

Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)
Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

Popular Posts

  • TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU BASI LILILOPIGWA BOMU MKOANI KIGOMA NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI KUTOKEA BURUNDI ;
    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu WATU watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya watu wanaosadikiwa ku...
  • Katiba Mpya hakieleweki
    Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amesema mchakato wa Katiba Mpya ukikwama kufika mwisho kutokana...
  • HAYA NDO MAJESHI KUMI BORA YENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI ;
    10. Brazil Students of Brasilia’s military school attend a ceremony commemorating the Army Day in Brasilia, Brazil in 2011. ...
  • WATU NANE WAKAMATWA UWANJA WA NDEGE WA MWL.NYERERE WAKIINGIA NCHINI KWA PASPOTI BANDIA ZA MATAIFA TOFAUTI YA ULAYA.TAZAMA PICHA::
     Idara ya Uhamiaji Nchini, imewakamata Raia wa nane (8) wa kigeni wakati wakiingia nchini...
  • Yule rubani wa miaka 17 alietangaza kupaa na ndege nchi 15 amepata ajali na kufariki.
    Ilikua taarifa kubwa sana pale mtoto rubani mwenye umri wa miaka 17 alipotangaza maamuzi ya kusafiri na ndege ndogo ya injini moja kwenye ...
  • AJALI YAUA ZAIDI YA 50 LEO MUSOMA NI MABASI YA MWANZA COACH NA JUMANNE, TUNAOMBA RADHI KWA PICHA;
    Basi la J4 Express  T677 CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la  Mwanza Coach T736 AWJ lililoku...
  • NEWS ALERT : BASI LA HOOD LAPATA AJALI MBAYA ASUBUHI HII LIKITOKEA MBEYA .
    Muda mchache baada ajali kutokea   Askari wa usalama wa barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio  na baadhi ya Mashuhuda wakis...
  • WATUHUMIWA WA DAWA ZA KULEVYA RAIA WA PAKISTANI WAWILI WATOROKA NCHINI.
    Mtuhumiwa Abdul Ghan Peer Bux.   Wapakistani wawili, Abdul Ghan Peer Bux na Shahbaz Malk (pichani) wal...
  • TANZANIA NA THAILAND WAKUBALIANA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA ZA MADINI. '
      Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati na Madini (TANSORT...
  • WATU 23 WATIWA MBARONI KWA KUKUTWA NA BANGI MKOANI PWANI
    JESHI LA POLISI MKOANI PWANI,LINAWASHIKILIA VIJANA 23 WALIOKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA KETE 354 ZA BA...

Blogger templates

Blog Archive

  • ►  2015 (21)
    • ►  June (2)
    • ►  May (13)
    • ►  February (5)
    • ►  January (1)
  • ▼  2014 (382)
    • ▼  December (16)
      • NAKUSHAURI RAIS WANGU KIKWETE, MUACHE MUHONGO AMAL...
      • Bayport yamjaza manoti mwanafunzi wa MUCE.
      • MAHABUSU APIGWA RISASI AKIJARIBU KUTOROKA MAHAKAMA...
      • Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Hand...
      • MAGAZETI YA LEO JUMATANO DESEMBA 31,2014 SOMA HAPA.
      • RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AMTOSA WAZIRI WA ARDHI PRO...
      • Rais Kikwete azungumza na wazee
      • Kitendawili cha Escrow: Chadema yaongeza orodha .
      • TUKIO LA UJAMBAZI,MLANDEGE ZANZIBAR LEO .
      • Mahakama yawalazimisha watu kuvaa kinga kabla ya k...
      • Mtanzania ahukumiwa maisha kwa mauaji.
      • Escrow:Je Kikwete atategua kitendawili?
      • Wakala wa huduma za misitu songea yakutana na wafa...
      • PONDAMALI NA MAGAZETI YA LEO IJUMAA TRH 19.12.2014...
      • Purukushani bungeni nchini Kenya
      • Kilio cha Albino Tanzania
    • ►  September (78)
    • ►  August (218)
    • ►  July (70)
Copyright © PONDAMALI NA MATUKIO |imetengenezwa na> VOSE ARTS 0786064208 Bonyeza Hapa
Design by NewWpThemes | Blogger Theme by Lasantha - Premium Blogger Templates | NewBloggerThemes.com