Digital
Rand watafiti na watoaji wa ripoti hiyo pia wanasema utumiaji wa
Twitter uliiongezeka kati ya mwaka 2012 na 2013 ambapo MKenya wa kwanza
kujisajili twitter ni @kamuiri na ilikua March 28 2007 akifatiwa na
@kenyamoto pamoja na @Sonnimuriuki.
Kwenye
sentensi nyingine ni kwamba watu milioni 4 hutumia facebook kila siku
kwenye shughuli zao huku ripoti ikionyesha pia kwamba Wakenya walioko
Twitter wanaushawishi wa followers 120,199,588 kwa ujumla na
wanaowafollow ni 49,539,705 kwa ujumla na Mkenya wa wastani anafollow
watu 89 huku followers wake wakiwa ni 214″
Ripoti
hii inatokea wakati ongezeko la matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii
yanayozua mgawanyiko na uchochezi kwa wananchi yanazidi kuripotiwa
ambapo ofisi ya kiongozi wa mashtaka upande wa serikali inaandaa muswada
wa kudhibiti uhalifu wa mtandao [Cyber Crime and Computer Related Bill]
Wakaazi
wa jiji la Nairobi wanachangia asilimia 74 ya Wakenya wote twitter huku
asilimia 11 ya Wakenya wa twitter wakiwa nje ya nchi ambapo kwenye
hesabu, inaonekana kuna tweets milioni 300 zimetumwa na Wakenya
mbalimbali mpaka sasa.
0 comments:
Post a Comment