Tuesday, 10 February 2015



Sunday, 8 February 2015






















Siku ya wapendanao ni sikukuu ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 14-February ya kila mwaka (Valentine Day).
Historia yake imeanzia Karne ya 3 huko Roma ambapo alikuwapo Padri Valintumis ambaye akaja kuheshimiwa kama mtakatifu hasa tarehe hiyo.
Hadithi zilizosababisha sikukuu kuenea
Inasemekana kwambaKaisari wakati huo alikuwa : yeye aliona kuwa askari mkakamavu na bora zaidi ni yule asiyeoa wala kuwa na familia (kapera). Hivyo alipiga marufuku ndoa kwa askari.
Valentinus alipinga jambo hili hivyo kuendelea kufungisha ndoa kwa siri Mfalme Claudius alipopata habari hizi aliamuru Valentinus akamatwe na kuuawa.
Kuna hadithi nyingine ya kuwa akiwa gerezani Valentinus aliandika barua ambayo ilikuwa na salamu za kwanza za Valentine kwa binti aliyekuja kumsalimia gerezani; mwisho wa barua alihitimisha kwa maneno haya: Kutoka kwa Valentinus wako.
Toka hapo Valentine anakumbukwa kama mtetezi wa wapendanao na sikukuu yake kuadhimishwa kote duniani
jogoo fm kwa kutambua umuhimu wa sikuu hii imeamua kuandaa tamasha ambalo litafanyika katika ukumbi wa jambolee lengo likiwa ni kuwakutanisha kila mtu na mhusika kutoka pande zote za ndani na nje ya mkoa wa ruvuma .

SHOW HII INALETWA KWA UDHAMINI MKUBWA WA UGABE HOTEL,DONE TECHNOLODGE,STAR TIMES SONGEA,MOHAMED INTERPRISES,MEFAMO HOLDING COMPANY,TOP ONE INN HOTEL,SANGA ONE PAMOJA NA NEWFORCE

Saturday, 3 January 2015

1_36d5b.jpg
2_78cbe.jpg
3_7da89.jpg
4_7734d.jpg
5_ea468.jpg
10_bdb59.jpg
20_17d0c.jpg
21_83e12.jpg
22_5ecfc.jpg
23_a5f18.jpg
24_4d727.jpg
25_956b4.jpg
26_14cf1.jpg

28_729a6.jpg
29_fd198.jpg
30_c8d9c.jpg
31_38462.jpg
32_5fb42.jpg
2015-01-03_06.47.55_c66c5.jpg
2015-01-03_06.51.42_90815.jpg
2015-01-03_06.53.10_1aef1.jpg
2015-01-03_06.54.51_93c5d.jpg
2015-01-03_07.05.36_5c214.jpg