
Msaani A.T akipokelewa na mashabiki wake sonngea ilikuwa nooma sana.
mashabiki wa muziki wakifuatilia kinachoendelea kwenye stage wenyewe wanasema was amazing sana songea ilitikisika kwa hii show.
msaani mkali wa miondoko ya RnB songea anafahamika kwa jina la Cammy bwoy akifanya yake kwa stage.
G luck G Bahati akafanya noma kwa miondoko ya kupali na kucheza sana hii nayo ilikuwa...