Wednesday, 31 December 2014

Rais Jakaya Kikwete PANAPO MAJAALIWA ya Mungu, kesho tunaungana na mataifa mengine duniani kusheherekea mwaka mpya wa 2015. Hivyo, kwa hesabu za kalenda ya mwaka 2014, leo hii tunamaliza muda uliobaki kabla ya kuingia mwaka 2015. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa pumzi yake. Ametujaalia afya njema. Hili ni jambo la kushukuru. Pia...
Mratibu wa Bima ya Elimu ya Bayport Tanzania, Ruth Bura kulia, akizungumza jambo katika makabidhiano ya hundi kwa bwana  Kennedy Kaupenda kushoto kwake, Makao Makuu ya Bayport, mapema wiki hii. Picha zote na Mpigapicha Wetu. xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx TAASISI ya kifedha ya inayojihusisha na mambo ya mikopo ya Bayport Tanzania, imempatia Sh Milioni tatu mwanafunzi wa mwaka wa...
  Mahabusu ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa amenasa kwenye ukuta wa chuma baada ya kupigwa risasi na maaskari wakati alipokuwa akijaribu kutoroka kwa kuruka ukuta huo katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es salaam, inadaiwa  mahabusu huyo ambaye si raia wa Tanzania alikuwa anakabiliwa na kesi ya madawa ya kulevya. Baadhi ya askari na watu mbalimbali wakiangalia...
MOTO mkubwa umeteketeza maduka 18 katika mtaa wa Kwakivesa wilaya ya Handeni mkoani Tanga baada ya lori lililokuwa limebeba mafuta kugonga nguzo ya umeme kupinduka na kisha kuanza kuwaka moto uliosambaa hadi kwenye maduka hayo. Taharuki hiyo imetokea leo majira ya saa 5:00 asubuhi baada ya lori hilo lililokuwa kwenye mwendo kasi kutaka kumkwepa mwendesha bodaboda...
...

Monday, 22 December 2014

Rais Dr Jakaya Kikwete amemuachisha kazi waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo  Makazi Profesa Anna Tibaijuka kutokana na tuhuma za kupata mgao wa Fedha za Akaunti ya Escrow kiasi cha bilioni Moja na Milioni Mia Sita ambazo alidai amepewa mchango kwa ajili ya shule, Rais Jakaya amesema Tumeamua mwenzetu huyu atupishe ili tuchague mtu mwingine wa kuhudumu katika wizara hiyo kutokana na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Kikwete    Rais Jakaya Kikwete ametengua nafasi ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka kupitia hotuba aliyotoa kuzungumzia kashfa ya upotevu wa fedha kutoka akaunti ya Tegeta Escrow. Hatua hiyo imechukuliwa na Rais Kikwete mbele ya wazee wa Dar Es Salaam aliokuwa akiongea...
Masikio ya Watanzania leo yameelekezwa kwa Rais Jakaya Kikwete watakapokuwa wakisikiliza hotuba yake kwa Taifa inayotarajiwa kujibu maswali yapatayo 10 ambayo yanatarajiwa kutegua kitendawili cha kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Maswali hayo yanatokana na maazimio ya Bunge ambayo yalionekana kuvuta hisia za wananchi katika kona mbalimbali za nchi ambako...

Friday, 19 December 2014

MKUU wa Polisi Wilaya ya Mjini, Ali Makame (wa pili kushoto) akiangalia gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu moja na shilingi za kitanzania milioni tano, muda mfupi baada ya kufika eneo la tukio katika eneo la Mlandege mjini Zanzibar. ASKARI Polisi wakiwa wameizunguka gari iliyovunjwa na kuibiwa pesa zinazosadikiwa kuwa ni euro elfu...
Kwa nchi nyingi za Afrika hasa Tanzania zinapiga marufuku kubwa ya uonyeshwaji wa movie za ngono kutokana na kwamba hazina maadili mazuri kwenye jamii, ukienda nchi kama China wao wameenda mbali zaidi, sheria kali zimewekwa ili kuzuia kabisa mtu yeyote kucheza filamu hizo, ama kuuza.Nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa zikishutumiwa kuruhusu biashara zote, kutengeneza na kuuza movie hizo,...
Mto wa kuchegama watumika kuondoa uhai wa watoto wadogo ndugu wawili.  Mtanzania aishiye Melbourne,Australia,Charles Mihayo mwenye umri wa miaka 36,aliyekuwa akituhumiwa kwa mauaji ya binti zake wawili,amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Mihayo ametiwa hatiani baada ya mahakama kujiridhisha kwa ushahidi uliothibitisha kwamba aliwaua binti zake ,,Indiana aliyekuwa na umri wa miaka...
Rais Jakaya Kikwete  Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete leo atalihutubia taifa la nchi hiyo ambapo anatarajiwa kuyatolea ufafanuzi masuala nyeti yanayoligusa taifa hilo. Wadadisi wa masuala ya kisiasa na kijamii wanatabiri huenda hatua atakazozichukua dhidi mawaziri na maafisa wa serikali waliohusika na...
mkuu wa wilaya ya songea akifungua mkutano kati ya wataalam wa misitu na wafanyabiashara wa mazao ya misitu wilaya ya songea mkaoni Ruvuma. Mkuu wa wilaya ya songea akitoa msisitizo wa kusimamia sheria za uvunaji wa misitu ili kuepuka kutokea kwa jangwa katika maeneo ya wilaya ya songea. meneja wa wakala wa huduma za misitu wilaya ya songea bi Manyisye Kibona Mpokigwa  pamoja na kaimu...

Thursday, 18 December 2014

                                                                                               ...