Sunday, 31 May 2015

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba, amesema kwa sasa nchi ipo njia panda, hivyo kuna haja ya kutumia busara ili kuchagua kiongozi atakayeleta maendeleo.   Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki , wakati akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Tawi la Mwenge, kuhusu utandawazi na maendeleo ya jamii.   January, ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, kimemchagua Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema, kama Kamanda wa Operesheni ya Uandikishaji wa Daftari la Wapigakura katika kanda hiyo.   Hayo yalisemwa juzi jijini hapa na Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Calist Lazaro, alipokuwa akizungumza  katika kikao maalumu cha mkakati  kilichowashirikisha...
SOURCE MPEKU...
Sasa  ni  zamu  ya  Mwigulu  Nchemba  kutangaza  nia  ambapo tayari amewasili katika ukumbi wa Mwl. Nyerere katika chuo cha mipango Dodoma ili kutangaza   nia  yake  ya  kugombea  Urais  kwa  tiketi  ya  Chama  cha  Mapinduzi, CCM. Hapa  nimekuandikia  pointi  muhimu ...
Nianze kwa kutoa shukrani kwenu wote mlioacha shughuli zenu ili kuja hapa kunisikiliza. Kuja kwenu hapa kwa wingi ni ishara ya imani mliyonayo kwangu, Nawashukuru sana Kwa zaidi ya mwaka mzima, kumekuwepo na miningo’no kuhusu uwezekano wangu kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aidha kutokana na mijadala ya wananchi au kupitia mitandao ya...

Saturday, 30 May 2015

Mabingwa mara 12 wa Kombe la FA, Arsenal baada ya ushindi wa jana dhidi ya Aston Villa. Arsenal wakisherehekea ubingwa wao wa FA. Theo Walcott akiifungia Arsenal bao la kwanza katika dakika ya 40.(P.T) Walcott akishangilia bao hilo. Alexis Sanchez (kushoto) akipiga shuti lililojaa wavuni na kuiandikia Arsenal bao la pili. Per Mertesacker...
 SOURCE MJENGWA TUMA MAONI YAKO LAKINI MATUSI HAPA...
UTANGULIZI: Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu, Hii ni siku muhimu kwangu na kwa nchi yetu. Leo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmi Watanzania wenzangu azma yangu ya kutaka kuomba ridhaa ya chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), niweze kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nasema hii ni siku muhimu kwangu kwa sababu naamini historia...