Tuesday, 23 September 2014

             ...
  Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu akiwa anaingia  Ofisi ya katibu kata,ya chama cha Mapinduzi CCM Buza Dar es Salaam  Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu akitia saini katika kitabu cha wageni Ofisi ya katibu kata ya chama cha Mapinduzi  CCM Buza Dar es...

Monday, 22 September 2014

 Warembo 15 kati ya 30 wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakisindikizwa na mkali wa Bongo Fleva kutoka Jijini Dar es Salaam, Tunda Man, wametoa burudani kali wakati wa shindano dogo la awali la kumtafuta mrembo mwenye kipaji lililofanyika Babati Mkoani Manyara. Pichani juu ni washindi wa tano waliofanikiwa kuingia fainali ya shindano hilo la vipaji litakalofanyika...

Friday, 19 September 2014

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu, akizungumza na waendesha pikipiki (Maarufu kama  Boda Boda) leo katika ukumbi wa Songea Club uliopo Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. Mwambungu amewataka madereva Boda boda kuepusha ajali za barabarani kwa kufuata sheria, na kutotumiwa na vyama vya kisiasa. BAADA ya siku chache kupita kufuatia tukio la nani amefanya kitendo kiovu cha kurusha...