Tuesday, 2 June 2015

Habari  Zilizopo  Katika  Magazeti  ya  Leo  Jumatano  ya  Tarehe  3 Juni 20...
Vumbi la kinyang’anyiro cha uteuzi wa kuwania urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linaanza rasmi Dodoma leo kwa wanachama wake watano kuchukua fomu wakiomba uteuzi huo.   CCM imepanga kuanzia leo Juni 3 hadi Julai 2, mwaka huu, kuwa siku za kuchukua na kurudisha fomu za wanachama wake wanaoomba uteuzi kuwania urais.   Uteuzi huo ni kwa Urais wa Jamhuri ya Muungano...

Sunday, 31 May 2015

NAIBU Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba, amesema kwa sasa nchi ipo njia panda, hivyo kuna haja ya kutumia busara ili kuchagua kiongozi atakayeleta maendeleo.   Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki , wakati akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Tawi la Mwenge, kuhusu utandawazi na maendeleo ya jamii.   January, ...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, kimemchagua Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema, kama Kamanda wa Operesheni ya Uandikishaji wa Daftari la Wapigakura katika kanda hiyo.   Hayo yalisemwa juzi jijini hapa na Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Calist Lazaro, alipokuwa akizungumza  katika kikao maalumu cha mkakati  kilichowashirikisha...
SOURCE MPEKU...
Sasa  ni  zamu  ya  Mwigulu  Nchemba  kutangaza  nia  ambapo tayari amewasili katika ukumbi wa Mwl. Nyerere katika chuo cha mipango Dodoma ili kutangaza   nia  yake  ya  kugombea  Urais  kwa  tiketi  ya  Chama  cha  Mapinduzi, CCM. Hapa  nimekuandikia  pointi  muhimu ...
Nianze kwa kutoa shukrani kwenu wote mlioacha shughuli zenu ili kuja hapa kunisikiliza. Kuja kwenu hapa kwa wingi ni ishara ya imani mliyonayo kwangu, Nawashukuru sana Kwa zaidi ya mwaka mzima, kumekuwepo na miningo’no kuhusu uwezekano wangu kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aidha kutokana na mijadala ya wananchi au kupitia mitandao ya...